Kuna diploma zilizoko chini ya NACTE nazo zina maombi ya aina mbili-za Afya na nafikiri elimu ya vyuo vya serikali unaomba kupitia NACTE, kwa vyuo binafsi unaomba moja kwa moja vyuoni. Diploma zingine zote unaomba vyuoni moja kwa moja.
Kuna diploma za vyuo vikuu-hizi karibu zote unaomba vyuoni moja kwa moja. Hizi nazo kuna zinazofuata miongozo ya NACTE kuna nyingine hata sijui ithibati yake inatoka wapi.