Msaada application nzuri za kushushia movie

Kuna jamaa kanitumia movie hii inaitwa project power ya 2020 ni HD ina masaa almost mawili na ni MB 300 tuu
Hebu nitumie mkuu niprove icho kitu,maana kuangalia kwangu muvie sijawah kukutana na full hd yenye mb 300
Niwekee WhatsApp 0742338377
 
Hebu nitumie mkuu niprove icho kitu,maana kuangalia kwangu muvie sijawah kukutana na full hd yenye mb 300
Niwekee WhatsApp 0742338377
Kutuma mb 300 WhatsApp mtandao sio rafiki ila cheki screenshot hii
Screenshot_20200824-101922.jpg
 
Hivi unaweza kudownload movie mp4 HD kwa MB 200 mpk MB 300??
Sidhani kama unaweza kupata movie ya hd kwa mb hizo

Hata hivyo kama unatumia simu au pc zipo website nyingi sana siku hizi unadowanload movies za mp4 au mkv kwa mb 200 hadi 300 zina quality nzuri tu

Kama tv yako kubwa sana ndio utaona utofauti lakini kama tv ya wastani zinaangali hivyo hivyo kiaina
 
Resolution yake ni ndogo sana 360.. atleast ingekua 720 ndo ungesema Hd
Wakuu mbona ina quality bomba tuu
20200824125139_1.jpg
20200824124958_1.jpg
 
Watu wa JF wajuaji sana hawawezi kukupongeza kirahisi mpaka wakukosoe kwanza ukose raha ndo furaha yao
Ni kweli aisee sijui ugumu unatoka wapi au ni yale mazoea ya kuishi in the same circle daily kwamba ili kitu kiwe hivi ni lazma kiwe kama ulivyo zoea kuona.
 
Muuliza swali kauliza kama anaweza kupata movie za HD majibu yakawa kwa mb hizo huwezi kupata HD movies

Ikawekwa video resolution zake akajibiwa hiyo sio HD

Kutokua HD haimaanishi kitakua kibaya au kina quality mbovu.........
Hd inavigezo vyake kuwa HD, hata wewe uone ina quality nzuri kiasi gani kama sio HD itakua sio

Mimi kutokana na ukata wa mb sinaga muda na kuhangaika na movies au series za HD zenye ma mb mengi huwa nazama zangu TV series, shows/Cartoon, Anime, Manga/Documentaries for mobiles in avi/3gp format - MobileTVshows kwa series
Au nazama https://www.fzmovies.net kwa movies
Napata movies mb 200 hadi 300 na series episode kuanzia mb 90 hadi 150
Quality naridhika nayo lakini sio Hd
Naangalizia kwenye Tab au Laptop
 
Watu wa JF wajuaji sana hawawezi kukupongeza kirahisi mpaka wakukosoe kwanza ukose raha ndo furaha yao
Kwahiyo mkuu kwako wewe kumfurahisha mtu ni kumpa jibu analolitaka hata kama ni uongo

Sasa video sio HD na kajibiwa sio HD sasa sijui ulitaka ajibiweje labda?

Au ulitaka ajibiwe ndio ni HD ili asiumizwe moyo wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom