Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?

daaaah kazi kweli kweli!!Bodi hawawezi msaidia aisee tuseme kweli tu coz wale jamaa ni wazandiki sana ajilipie huu mwaka then mwakani aombe tena tuWakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe huyo dogo alivyopangwa jeshi alimwachia mzee wake ampelekee ile form posta ila nilivyomuuliza mzee wake leo akaniambia yeye aliipeleka internet(hapa sijamuelewa kwa kweli) kisha akarudi nayo nyumbani so form mpaka sasa hivi anayo na imesainiwa na kila kitu kinachohitajika tayari kipo ila ndo hivo haikwenda loarnbord!
Naombeni msaada kwa anayejua huyu dogo akienda loarnboard na hii form na cheti cha JKT aeleze uhalisia kwamba mzee hakujua inakuwaje na dogo alitakiwa kwenda JKT ataeleweka? Ukizingatia kozi yake ni PRIORITY?
aende bodi na hizo documents zote na copy ya form za mikopo watamsaidiaJamani mimi mwenyewe naomba msaada wa kimawazo, kuna dogo naye ana kesi kama hii "loan application form was not submited" lakini alituma kwa njia ya EMS na risti anazo, mkopo hajapata naomba mawazo yenu ili tuweze kumsaidia huyu dogo maana ameishakata tamaa ya kuacha chuo ili aaply mwakani kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa kumlipia ada.
aende bodi na hizo documents zote na copy ya form za mikopo watamsaidia
haaaaaahaaaaa nimecheka sana hii thread kwamba mzee aliipeleka form INTERNET teh teh teh
Jamani mimi mwenyewe naomba msaada wa kimawazo, kuna dogo naye ana kesi kama hii "loan application form was not submited" lakini alituma kwa njia ya EMS na risti anazo, mkopo hajapata naomba mawazo yenu ili tuweze kumsaidia huyu dogo maana ameishakata tamaa ya kuacha chuo ili aaply mwakani kwa sababu wazazi wake hawana uwezo wa kumlipia ada.
HIVI mwailewaje hii quote "budget exhausted"????? it can simply stated like that..,sory u'r loan application form was sucessfully submitted but u ar nt allocated loan due to lack of enough fund..so nyie mdanganyieni mwenzenu achome nauli hadi samu namjouna street afu akatoke kapa
Mfike ofisi zilipo Mwenge yote hayo yanatatulika acheni kukaa home funga safari njoo jijini utafte haki zako ujue nchi inaendaje usibaki kusoma comments na kumezea watz tuache woga tafadhali
Huyo dogo alietumu kwa njia ya EMS aende na risiti ambayo alipewa pale ems atasikilizwa! Kiukweli bod haiishiwi kabisa maana still kuna watu wanakatwa kila siku pesa ambazo walokopa! Kwa hio anaweza kusikilizwa