wakuu naomba msaada,ni application gani nzuri ya kudownload videos kwenye simu zenye mfumo wa ios, nimeinstall tubidy kutoka app store lakini hainipi option ya kudownload
wakuu naomba msaada,ni application gani nzuri ya kudownload videos kwenye simu zenye mfumo wa ios, nimeinstall tubidy kutoka app store lakini hainipi option ya kudownload
App ziko kibao ila video vault hapo kwenye picha ndo the best (from my experience) iko Fasta na menu yake ni easy , Ina download toka site yoyote yenye video plus you tube videos ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.