Msaada app ya SMS imepotea

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Msaada jamani kuna simu ya jamaa yangu tecno h6 cha ajabu icon ya app ya messege imepotea kwahiyo hata akitumiwa sms hawezi kuzisoma na wala kutuma nimemwambia ajaribu kwenda kwenye call list ajaribu kumtuma sms kwa namba mojawapo ila inampa complity action with whatsapp au palmatch.
 

Sina uzoefu sana kwenye hlo ila kwa hzo built in apps inatakiwa tu aireset (restore factory) hyo simu yake.
 


Ingia playstore download HangOuts. Itakusaidia. Otherwise fanya restore
 
Duh kumbe inaweza kutokea hivyo.
 

Ungeandika kiswahili ingekuwa vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…