application Member Joined Jun 10, 2016 Posts 30 Reaction score 8 Jul 11, 2016 #1 Habari wana JF.... Msaada jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na vipi kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25,000 ni kweli? Nawasilisha asante
Habari wana JF.... Msaada jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na vipi kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25,000 ni kweli? Nawasilisha asante
Simbamteme JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 808 Reaction score 2,169 Jul 12, 2016 #2 we kama unataka inayofanya kaz kma hyo 4 free n Pm
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jul 13, 2016 #3 application said: Habari wana jf.... Msadaa jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na VP kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25000 ni kweli?... Nawasilisha asnte Click to expand... weka Link hapa tuone ila wengi watanzania wamechukua hizo weakness zenu kuwatapeli so take care kabla hauja jihusisha
application said: Habari wana jf.... Msadaa jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na VP kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25000 ni kweli?... Nawasilisha asnte Click to expand... weka Link hapa tuone ila wengi watanzania wamechukua hizo weakness zenu kuwatapeli so take care kabla hauja jihusisha
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Jul 13, 2016 #4 Simbamteme said: we kama unataka inayofanya kaz kma hyo 4 free n Pm Click to expand... weka hapa tujimwage wote.
Simbamteme said: we kama unataka inayofanya kaz kma hyo 4 free n Pm Click to expand... weka hapa tujimwage wote.