Msaada, App ya kusajili laini za halotel

Msaada, App ya kusajili laini za halotel

dutouh

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
28
Reaction score
8
Habari zenu wana jf naomba msaada kwa yule anayejua app ya kusajili laini za Halotel kwa simu zenye android 7.0. Asanteni
 
mi ninayo ila ni hii inayotumika kwa sasa, sijajua labda kuna mpya.
 
Screenshot_2018-03-29-16-43-31.png

Kama itakufaa nambie njia ya kukutumia.
 
Mkuu naomba unitumie iyo application WhatsApp no 0744411938
 
Asee mwenye file la kusajili halotel
Anitumie kwenye Whatsapp namba 0685 051 061
 
Chris 14
Hilo file ninalo tatizo kufunguka halufunguki
Naomba unisaidie password zake
 
Hiyo Halotel mbccs haisupport kwenye android 7.0
 
Back
Top Bottom