Habarin waungwana!hivi n benk gan nzur yenye faida ukiweka ela kwa mfanya biashara mdogo wa duka na kuuza machungwa ambayo inakua inakupa riba kutokana na kias chako cha fedha kilichopo kwenye account yAko!!plz msaada waungwana!!
Nakubaliana nawe.
Faida ya Nmb Bonus a/c haina makato ya kila mwezi, pia unapata riba ya hadi 5% kulingana na kiasi ulichoweka.
Tatizo la hii a/c ni kuwa unatakiwa usitoe pesa zaidi ya mara 2 kwa mwaka, ukikaidi huwezi kupata riba.