Msaada: Antivirus bora zaidi kwa computer

F-Secure Internet Security ndiyo mpango mzima kaka kama hutoweza kumudu gharama zake basi tumia MSE ambayo ni free.
Ant-virus zingine zote ni mbwembwe tu.
 
Kaspesky ikianza kuRestrict safe network activities, sharing, na teamviewer. Hata zile program za kawaida zinazuiliwa, . Ukiweka Kaspersky lazima uanze kuweka exclusions ya kitu kimoja baada ya kingine.

Avast nao ni wale wale, inakula software ovyo. Hata ukitengeneza tu application ya VB inaliwa
 
Microsoft Essential security iko poa sana kwa pc yangu.
Na ni free.
Ukii update utaiinjoy sana

Nimejaribu hiyo haipatikani kwa window 8
Msaada kujua namna ya kutumia hiyo au kupata mbadala wake.
 

Asante kwa maelekezo Mkuu Paul c
Nitayafanyia kazi.
 
Antivirus nyingi zilizotajwa ni nzito na computer nyingi bongo ni dual core, hiyo inafanya computer iwe more slow...
Microsoft security essentials inakuja na windows 8 automatically, hii ni mbaya na inashindwa kudetect vitu vingi tu..

Ninarecommend tool light tu inaitwa "Malwarebytes Anti-malware" very light so computer haislow down na detection yake c mchezo
 
Kwangu mimi ESET NOD32 Antivirus ndio mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…