The activist
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 113
- 67
Unaposema haifanyi kazi vizuri unamaana gani? PC yako imepata viruses?
Kaspersky ni best antivirus out there
Kama una genuine windows tumia Microsoft security essentials ni nzuri sana na ni bure
Mkuu ile ku update kila siku nimeona ni kero Fulani hiviii. Itakuwa imepata virus.
Hauna option nyingine zaidi ya kaspersky??
Mkuu ile ku update kila siku nimeona ni kero Fulani hiviii. Itakuwa imepata virus.
Hauna option nyingine zaidi ya kaspersky??
Kaspersky ni best antivirus out there
Mkuu wengi tumezoea kerspersky na hatujui nyingine. mim nimeshatumia antivirus nyingi ikiwemo kerspersky na microsoft esential bora kerspersky kuliko microsoft essential, na kama umeichoka kerspersky nakushauri uamie smart security 8 ni antivirus nzuri inaweka protection nyingi kwenye pc yako na extra ni ant theft.
Usichanganyikiwe na baadhi ya online reviews, some webs zinakuwa offered ku trend AV's flani.
Japokuwa sijawahi ona website inayodai kwamba Kaspersky ni the best in 2015, rather than KAV 2013 smbayo ilitishia dunia kidogo, ila saizi KAV inashika nafasi kuanzia ya pili.
Lakini antivirus zinazoongoza watumiaji wake ni 10 kati ya 1000 lakini kwasabu wanazipromote then fine.
Computer yangu inatumia kaspensky untivirus ambayo naona kama vile haifanyi vizuri. Nimebakiza siku kumi tu kufikia expire date.
Naomba ushauri ni antivirus ipi nzuri ya kununua kwa sasa ambayo nitafurahia kutumia...
Natanguliza shukrani wakuu!!
Unasema ulichosikia Mimi nasema ninachojua.
Natumia KAV internet security nilinunua kwa website yao direct sikudownload kiwizi au piracy na iko njema sana kwa matumizi yangu, sioni tatizo lolote la hii antivirus, hainisumbui hata kidogo.
Reviews za watu online zinamatter kuna trusted websites ambazo haziko biased na zinatoa dira nzuri kwa mtu ambae anataka anunue kitu.
Sem
a best antivirus kwa mtizamo wako