Msaada antivairus ya Simu

Msaada antivairus ya Simu

Robert mp

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
200
Reaction score
21
wadau naomba msaada wa antvairus nzuri ya kutumia kwenye cimu yangu ni Celkon A85 Android.mwanzo nilikuwa natumia avg sasa naona ina mb nyingi mno na mimi simu yangu imebaki na mb 10 tu.msaada wakuu
 
Ni vizuri kama kama ukadownload kutoka kwenye app store ya cmu yako maana hapo unaweza ukapata ambyo inakufaa kwa hyo 10mb coz niniyo tumia mimi kwenye cmu ina 18mb.
 
nashukuru mkuu kwa ushauri.ila tatizo cjui antvairus yenye mb chache ni ipi na ndio shida yangu.
 
tumia Dr Web light itakufaa hata mimi natumia hiyo. haizidi z4.5
 
simu yangu ni kama yako ni android. ingia walipoandika app or google play kisha juu'utaona neno search then click hapo na kuandika Dr itatokea hiyo untivirus. ni mzuri sana kwa android
 
asante sana mkuu wangu nimeipakua ipo poa sana mkuu.asante mungu akujalie kwa kuwa na moyo huo.
 
Hivi hizi anti virus za simu huwa zina detect kweli virus?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom