Javis Elias Balilemwa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 489 Reaction score 67 Apr 28, 2015 #1 jamani nisaidieni simu yangu ina wahi kupata moto pindi ninapoitumia
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Apr 28, 2015 #2 Mr Podson said: jamani nisaidieni simu yangu ina wahi kupata moto pindi ninapoitumia Click to expand... Simu gan?
Mr Podson said: jamani nisaidieni simu yangu ina wahi kupata moto pindi ninapoitumia Click to expand... Simu gan?
magabelab JF-Expert Member Joined Nov 18, 2014 Posts 374 Reaction score 202 Apr 28, 2015 #3 Hiyo inamaanisha Transistors katika cpu ya phone yako zinakuwa oN kwa muda mrefu ,hazipati muda wa kupumzika kutokana na kwamba kazi ni nyingi. Hii inatokana na process za apps ulizioinstall kwenye simu yako. jaribu kufuta app ambazo hazina umuhimu
Hiyo inamaanisha Transistors katika cpu ya phone yako zinakuwa oN kwa muda mrefu ,hazipati muda wa kupumzika kutokana na kwamba kazi ni nyingi. Hii inatokana na process za apps ulizioinstall kwenye simu yako. jaribu kufuta app ambazo hazina umuhimu