JambaziSugu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 245 Reaction score 210 Aug 10, 2014 #1 Habari wakuu.. Naomba kufahamu android application ya kutuma sms bure kwa mtu yeyote hata yule asiye na hiyo application au asiye na smartphone kabisa.
Habari wakuu.. Naomba kufahamu android application ya kutuma sms bure kwa mtu yeyote hata yule asiye na hiyo application au asiye na smartphone kabisa.
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Aug 10, 2014 #2 Aiseeee!! Mkuu hio kitu ngumu kidogo, sidhani kama kuna app hizo, hata zikiwepo unapewa free trial kama 50 sms baada ya hapo kulipia
Aiseeee!! Mkuu hio kitu ngumu kidogo, sidhani kama kuna app hizo, hata zikiwepo unapewa free trial kama 50 sms baada ya hapo kulipia
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,045 Reaction score 12,545 Aug 11, 2014 #3 Ilikuwa jaxtrsm ilikuwa inafanya kaza kwa symbians mobile phone.. ila kwa adroid ni ngumu kidogo