Msaada: Android application Development

Msaada: Android application Development

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
384
Reaction score
114
Habarini.
Wakuu , Nimetumia Support Library ya Appcompact v7(Support Library ya Android) ili ku add ActionBar na Tabs kwenye Devices Ambazo zina run android version ya 3.0 kurudi chini. Nimefanikiwa katika ku add hiyo actionbar na hizo tabs, lakini nimeshindwa ku Implement ActionListener endepo tab fulani itakuwa selected, kwa mfano mtu aki select "Tab1" nataka Fragment1 ndio ifunguke, vile vile kwa Tab2 na Tab3.

picha chini zinaonesha codes nilizotumia.
1>Layout niliyoipata
2>mainactivit.xml
3>Fragment1.java
4>fragment1.xml
5>Mainactivity.java

Kila tab ina fragment yake. cc: Nyasiro, chief-mkwawa, Stefano Mtangoo na wengineo wote
 

Attachments

  • shot_000002.png
    shot_000002.png
    5.7 KB · Views: 48
  • mainXml.PNG
    mainXml.PNG
    7.9 KB · Views: 49
  • frag1java.PNG
    frag1java.PNG
    9 KB · Views: 50
  • frag1xml.PNG
    frag1xml.PNG
    6.9 KB · Views: 48
  • main.png
    main.png
    288.1 KB · Views: 57
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom