weka limit tu kwamba ikifika meseji 1 ijifute zinajifutaWana jukwaa habari?
Anatafuta android app kwaajili ya kublock incoming sms. najua nyingi zinaweza iyo kazi but zinaweka spam box or blocked box.
je naweza pata app (free) ambayo itakua inazi delete uko uko automatically sio hadi mimi niende. maana nikienda najikuta nazisoma sometimes. maana ya kublock inakua haipo maana unakua kama umezikusanya uzisome kwa pamoja. thanks.
nimecheka sana, et zinajikusanya ili usome kwa pamoja.hahahahh badili namba tu ndo njia rahisiWana jukwaa habari?
Anatafuta android app kwaajili ya kublock incoming sms. najua nyingi zinaweza iyo kazi but zinaweka spam box or blocked box.
je naweza pata app (free) ambayo itakua inazi delete uko uko automatically sio hadi mimi niende. maana nikienda najikuta nazisoma sometimes. maana ya kublock inakua haipo maana unakua kama umezikusanya uzisome kwa pamoja. thanks.
nimecheka sana, et zinajikusanya ili usome kwa pamoja.hahahahh badili namba tu ndo njia rahisi
mkuu zipompanimecheka sana, et zinajikusanya ili usome kwa pamoja.hahahahh badili namba tu ndo njia rahisi