Msaada: Anayeweza kushona vizuri kombati za CHADEMA

Msaada: Anayeweza kushona vizuri kombati za CHADEMA

mululu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
756
Reaction score
408
Wadau Peeples!

Kwakuwa kazi ya harakati inaendelea mpka taifa letu litakapojipatia uhuru wake wa pili na kwakuwa mimi bila shuriti nimejitolea kushiriki kazi hii adhimu.

Natafuta fundi anayeweza kushona kombati za CHADEMA full shati(ile ya mikono mirefu ambayo pia unaweza geuza kuwa mifupi kwa kubana na vishikizo karibu na bega, pia iwe na mkanda wa kubana tumboni na mbwembwe zote, kama zile anavaaga kamanda wetu mbowe) na suruali yake.

Nahitaji Pair 17. Kazi tuliyotumwa na Mungu iendelee kwani CDM ni mpango wa Mungu kuwatoa watz kwenye rindi la ujinga kama ambavyo kazi yetu inadhihirika kila uchao.

UKAWA?
 
Wadau Peeeoplez???? Kwakuwa kazi ya harakati inaendelea mpka taifa letu litakapojipatia uhuru wake wa pili na kwakuwa mimi bila shuriti nimejitolea kushiriki kazi hii adhimu, natafuta fundi anayeweza kushona kombati za chadema full shati(ile ya mikono mirefu ambayo pia unaweza geuza kuwa mifupi kwa kubana na vishikizo karibu na bega, pia iwe na mkanda wa kubana tumboni na mbwembwe zote, kama zile anavaaga kamanda wetu mbowe) na suruali yake. Nahitaji Pair 17. Kazi tuliyotumwa na Mungu iendelee kwani CDM ni mpango wa Mungu kuwatoa watz kwenye rindi la ujinga kama ambavyo kazi yetu inadhihirika kila uchao.. UKAWA?....

Wewe ukitumwa na mungu na Pope nae aseme katumwa na nani?
 
Nakushauri hizi harakati uzifanye kwanzia 2018-2020
 
Nahitaji na mimi combati.ukifanikiwa tuwasiliane kama ile ya LISSU ndo nahitaji
 
Mkuu unataka fundi kutoka eneo gani la nchi?,kama uko hapa dar ni pm
 
Wewe ukitumwa na mungu na Pope nae aseme katumwa na nani?

Kwani Mungu hawezi kutuma mtu zaidi ya mmoja??
By the way wewe Watu ni kati ya wale Watu8??? Wengine 7 wako wapi??
 
Last edited by a moderator:
Wadau Peeples!

Kwakuwa kazi ya harakati inaendelea mpka taifa letu litakapojipatia uhuru wake wa pili na kwakuwa mimi bila shuriti nimejitolea kushiriki kazi hii adhimu.

Natafuta fundi anayeweza kushona kombati za CHADEMA full shati(ile ya mikono mirefu ambayo pia unaweza geuza kuwa mifupi kwa kubana na vishikizo karibu na bega, pia iwe na mkanda wa kubana tumboni na mbwembwe zote, kama zile anavaaga kamanda wetu mbowe) na suruali yake.

Nahitaji Pair 17. Kazi tuliyotumwa na Mungu iendelee kwani CDM ni mpango wa Mungu kuwatoa watz kwenye rindi la ujinga kama ambavyo kazi yetu inadhihirika kila uchao.

UKAWA?

Ivi bado mnaendelea kuzitafuna pesa za mzee...
 
Aisee kazi kweli.
Kama zima haki miliki jela inakuita.
Wasiliana na Uongozi wa Chadema Makao makuu kwanza upate kibali,la sivyo wewe ni haramia kwa kivuli cha UKAWA.
 
Back
Top Bottom