Msaada: Anayepafahamu Shighatini, Ugweno

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Salam wakuu,
Anayefahamu shighatini na maisha ya pale kiujumla kwa mtu anayetaka kuhamia/ , jamii ya pale ipoje kiujumla
 
Hizo zinaitwa fact finding kabla ya mtu kuoa au kuolewa mtu anayetoa jibu la hili swali la mleta mada awe mkweli mtu aweza shindwa kuoa au kuolewa hapo.
 
Mkuu ugweno ni kama upo lindi ndani ndani huko ni ka mji flani ka hovyo kapo mlimani barabara za changarawe magari hayawezi kupishana na kuna waislam wengi sana
 
Mkuu haufiki Nyangao?
 
hao ni mchanganyiko na wapare, ni watu wakarimu na wengi wao wasomi pia kuna shule kubwa ya sekondari inaitwa jina hlo. watu wake kama unataka kuoa sio watu wabaili ila anaweza akawa mbaili kama na ww ni mbaili na ni watu wa kusaka sana noti. chakula kipo kingi kwa sababu ni maeneo ya mlimani na mvua zipo mda wote. ila mtafute mshana ambaye ni mpare atakupa tabia nyingi za kigweno.
 
Mkuu ugweno ni kama upo lindi ndani ndani huko ni ka mji flani ka hovyo kapo mlimani barabara za changarawe magari hayawezi kupishana na kuna waislam wengi sana
Asee kwaiyo kumbe miundombinu ni mibovu kule.
Eti ni ka mji ka ovyo hivyo.
Mbona ni hatari hii sasa
 
hao ni mchanganyiko na wapare, ni watu wakarimu na wengi wao wasomi pia kuna shule kubwa ya sekondari inaitwa jina hlo. watu wake kama unataka kuoa sio watu wabaili ila anaweza akawa mbaili kama na ww ni mbaili na ni watu wa kusaka sana noti. chakula kipo kingi kwa sababu ni maeneo ya mlimani na mvua zipo mda wote. ila mtafute mshana ambaye ni mpare atakupa tabia nyingi za kigweno.
Nimeambiwa ni sehemu ambayo ina watu wachache sana hapa Tanzania.
Kwaiyo Mkuu jamii kubwa pale ni wapare?
 
Mkuu ugweno ni kama upo lindi ndani ndani huko ni ka mji flani ka hovyo kapo mlimani barabara za changarawe magari hayawezi kupishana na kuna waislam wengi sana
Ninaanza kupata picha halisi ya maisha ya pale sasa. Waislamu wengi kuliko wakristo?
 
Ni kijiji cha upareni so wapare ambao ni waislam wengi kama 95% wako kule huku kwingine wako wapare wasabato
 
Mkuu ugweno ni kama upo lindi ndani ndani huko ni ka mji flani ka hovyo kapo mlimani barabara za changarawe magari hayawezi kupishana na kuna waislam wengi sana
Muongo. ipo barabara ya lami. na magari yanapishana tu. sema ni mlimani au kijijini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom