Msaada anayekifahamu chuo cha Nyamwezi TTC

Msaada anayekifahamu chuo cha Nyamwezi TTC

Joined
Jul 13, 2016
Posts
10
Reaction score
0
naomba kujua kama mtu yoyote anakijua chuo cha nyamwezi ttc na kikoje ktk kozi kozi ya ualimu wa shule za msingi na maana mazingira yake,ufundishaji, na vitu vingine,,
 
Kipo Tabora Lipuli kinakingamana na Musoma Utalii College kiko poa sana kwa msaada zaidi nipm nitakusaidia kuna vijana wapo pale wanapiga vitu tena walimu km wewe nadhani ufumbuzi OVA
 
Back
Top Bottom