Msaada anayejua plz

Msaada anayejua plz

Joined
Jun 6, 2012
Posts
40
Reaction score
9
Napenda kuwashukuru nyote
mtakao nipa majibu haya coz
jambo hili linanichanganya sana.
Nampenzi wangu ambaye natarajia kama mungu akinipa uhai
awe mke wangu, but kwa hili linanipa shaka sana, katika kukaa naye kwenye mapenzi yetu kwa bahati mbaya alipata mimba,
tukashauriana kuwa kwa7bu imetokea bhac 2ctoe 2lee mimba,
ilipita kama miezi 2 hv likatokea tatizo tukagombana kama wiki 2 zilipta hatuna mawacliano
coz tulikuwa tunapendana
tuliamua kusameahana maana bila kusameahana waafrica wote tucnge fika hapa tulipo,
nilipata safari ya kwenda south africa but kama kesho naondoka nilimuulzia kuhusu mimba alilia sana akaniambia kuwa aliona mm na yy 2meachana bhac aliamua kuitoa ile mimba na alipo pale ndiyo alikuwa anamalizia kubrd iliniuma sana bt ckuwa na jinc yakufanya, nimuuliza kama tunaweza ku duu akaxma tunaweza bhac tu kavunja amri ya 6,
zimepita kama wiki 3 na nuxu hv najiandaa kurud tanzania ananipigia simu anamiambia anajihic anamimba coz anaona dalili zote za yy kuwa na mimbal!
Swali nalojiulza maana hainiingii akilini hv inaweza tokea hivi ?
maana hadi kichwa kinaniuma cz nikimwambia anixbiri tukapime wote anaxma anataka aende yy then nikirud ndio twende wote
naombeni majibu yenu wadau?
 
^^
Tatizo lako ni lipi hasa,,
Huna imani kuwa mimba ni yako?
Au yeye kwenda kupima bila wewe?
^^
 
Msanii huyo tupa kule, kwanza sio mvumilivu wiki mbili kashadelete kila kitu. When woman love.................... Hakupendi huyo majangaaaaaaaaaa.
 
Utratraa! Labda mimba haikutoka na hakutoa,rudi muende wote hosp.
 
Back
Top Bottom