American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,545
Jamani naombeni msaada wenu tafadhari wa anayejua sehemu inayohusika na ununuzi wa madini, hapa dar es salam, sitaki Dalali wa aina yoyote nataka kupata eneo ambalo ununua madini kwa bei nzuri, haraka na bila ubabaishaji wa aina yoyote.
Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hili.
Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hili.