K kakolo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 406 Reaction score 354 Dec 22, 2016 #1 Kwa ajuae nitashukuru akinifahamisha bei ya router ya TTCL au mwenye uzoefu wa package ya T- Connect naomba tu share uzoefu wa hiyo huduma. Natanguliza shukrani.
Kwa ajuae nitashukuru akinifahamisha bei ya router ya TTCL au mwenye uzoefu wa package ya T- Connect naomba tu share uzoefu wa hiyo huduma. Natanguliza shukrani.
M Mr Smart Senior Member Joined Jan 31, 2013 Posts 171 Reaction score 92 Dec 22, 2016 #2 Kuna router ya 210000 ambayo inauwezo wa kuconnect watu 32 ukinunua hiyo unapata GB 60 Free kutumia mwezi mzima Kuna router ya 150000 inaconnect watu 10 hiyo inakuja na GB 15 mwezi free Kuhusu bei za vifurushi ingia tovuti yao www.ttcl.co.tz
Kuna router ya 210000 ambayo inauwezo wa kuconnect watu 32 ukinunua hiyo unapata GB 60 Free kutumia mwezi mzima Kuna router ya 150000 inaconnect watu 10 hiyo inakuja na GB 15 mwezi free Kuhusu bei za vifurushi ingia tovuti yao www.ttcl.co.tz
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,558 Reaction score 11,763 Dec 22, 2016 #3 Kwenye bei za vifurushi utakoma.