KAJOKELA Senior Member Jul 3, 2018 155 74 May 16, 2019 #1 Naelekea songea mjini kikazi,mwenye kujua guest kuanzia tsh 20000-30000/= anisaidie maana nitakuwepo 1 week,anisaidie siyo mbaya kama na mambo ya vijana pia nayo tujulishane maana yatasaidia siku kwenda haraka,ahsanten!
Naelekea songea mjini kikazi,mwenye kujua guest kuanzia tsh 20000-30000/= anisaidie maana nitakuwepo 1 week,anisaidie siyo mbaya kama na mambo ya vijana pia nayo tujulishane maana yatasaidia siku kwenda haraka,ahsanten!