Mmenikumbusha Tanga School, shule yangu. Mi nilikaa bweni la Twiga, linatazamana na Nyati, karibu na zahanati, mbele yake ni Mbuni. Nilikuwa kiranja wa usafi na mazingira, huko Mbuni kila j'mosi tulikuwa tunakwenda kwenye ukaguzi! Tanga Tech ilikuwa ni shule nzuri sana, sijui ss hv.