Msaada: Anayefahamu kituo cha kulea watoto yatima

Msaada: Anayefahamu kituo cha kulea watoto yatima

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Habari zenu watanzania wenzangu,

Sasa nina ombi moja, ombi langu ni kua ninaomba nipate msaada kutoka kwa yeyote anayefahamu kituo cha kulelea watoto yatima ambacho hakijamulikwa ama niseme hakijawahi kupata msaada na zaidi wenye kuwatunza hao watoto wako katika wakati mgumu kuwapatia hao watoto mahitaji muhimu ya kila siku. Unaweza kuniambia hapa hapa ama PM.

Reason for asking: Tuna kikundi chetu tunataka tukawatembelee na kuwapa tulivyonavyo.

Natanguliza shukrani.

Asanteni.
 
Mkuu hata hapa kama unaenda stendi ya mawasiliano kuna kituo wa hao watoto yatima!!kinaitwa kituo cha mama mkapa!!
 
Mkuu hata mkiienda kwenye makanisa au misikiti mnaweza pewa mwongozo zaidi kwani huwa kuna vituo huwa wanavilelee maeneo tafautitofauti!
 
Back
Top Bottom