C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 162 Jun 12, 2016 #1 Naomba kufahamishwa namna ya kurecharge simcard ya ttcl na kujiunga na vifurushi
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Jun 12, 2016 #2 mi niliwapigia wakaniambia vocha unaweka kwenye website yao. unaingia kwenye hio website utakuta sehemu ya kueka namba na vocha, na vifurushi pia unajiungia huko. jamaa hawa wanazingua bado kwa style hio mteja wa kAwaida atawezaje?
mi niliwapigia wakaniambia vocha unaweka kwenye website yao. unaingia kwenye hio website utakuta sehemu ya kueka namba na vocha, na vifurushi pia unajiungia huko. jamaa hawa wanazingua bado kwa style hio mteja wa kAwaida atawezaje?
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 864 Reaction score 301 Jun 12, 2016 #3 Tumia selcom POS
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Jun 12, 2016 #4 cyber ghost said: Naomba kufahamishwa namna ya kurecharge simcard ya ttcl na kujiunga na vifurushi Click to expand... Simbank
cyber ghost said: Naomba kufahamishwa namna ya kurecharge simcard ya ttcl na kujiunga na vifurushi Click to expand... Simbank
C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 162 Jun 12, 2016 Thread starter #5 Fofader said: Tumia selcom POS Click to expand... Nimetumia selcom nimefanikiwa sasa nacheki game ya ujerumani hapa live
Fofader said: Tumia selcom POS Click to expand... Nimetumia selcom nimefanikiwa sasa nacheki game ya ujerumani hapa live