mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,689
- 2,343
Maelezo kamanlivo toa apo juu mwenye kujua aplication itakayo nsaidia kurudisha picha coz kuna m2 nlimuachia cm akazifuta

sema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajiaAu njia y kuamnika sign in kweny googlephoto the backup apo utazkuta mpk picha zako za kwanza uliponunua simusema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajia