Kama una uhakika yupo hapo matombo nenda ukamfate otherwise toa details zake vizuri mfano. Umri , rangi na nguo anazopenda kuvaa na ikibidi kabila . Ni maoni yangu tu.
funguka amepotea mazingira gani, lini na muda gani? Kwa kuanzia ungetoa tarifa kituo cha polisi na vyombo vya habari. Jf hapa utapata msaada wa mawazo tu si rahic mtu kujiuisisha ktka jambo sensitive kama hili ukizingatia aliepotea/toroka ni mtoto wa kike
upphhh,nlificha details kwa 7bu maalum wandugu,ningefunguka zaid pm. ila am the boss,na nimefanya nnalotakiwa kufanya and evrthng z ok nw.
duh kuna watu mpo fasta kama mmezamia(tyta,kisima,babaV)!!