Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Amazon hawatumi shipping to tanzania.
Alibaba na eBay!!!!
Jaribu hapo mkuu.
Baadhi ya sellers wanatuma ila sio wengi kama ilivyo kwa ebay. Hii message maana yake ni ubadili shipping address, kama una mtu unamfaham nchi nyingine seller anakotuma mzigo utumie hiyo address yake then huyo mtu akutumie wewe kwenye S.L.P yako.
pitia hii link mkuu,inaweza kukusaidia.Ndugu wanaJf naomba msaada wenu
Kuna vitu nataka kuorder kutoka amazon lakini kila nikijaribu kufanya process za malipo napata hii msg
Nimejaribu kubadilisha ordering address lakini imegoma, ni vitu vinne ambavyo vinatoka seller tofauti na kote napata the same msg
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 4"] Sorry, this item can't be shipped to your selected address. Learn more. You may either change the shipping address or delete the item from your order. You can also see if this item is available to ship to your address from another seller.
Sorry, this item can't be shipped to your selected address. Learn more. You may either change the shipping address or delete the item from your order.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
sasa ukinunua unatumiwaje? DHL au?
Mkuu kuna seller wanafanya free shipping kuja hata huku Tanzania nimenunua mzigo mwezi wa tisa kutoka UK umekuja bure mpaka hapa tena ni Kilo karibu 60, awe makini tu katika kuangalia selller anasemaje maana kuna wengine hawaleti huku kabisaKutokana na mfumo wa nchi yetu hatuna official address ambayo unaweza kupata mzigo wako kwa uhakika, hivyo amazon, eBay and sellers wanakataa kuuza baadhi ya nchi kama tanzania, lakini jaribu kuomba kwanza contact ya DHL tanzania ili uweze kujaribu kutumia na mzigo wako ifike kwao moja kwa moja.
Pia kuna option ambayo wakati UnafanyA manunuzi lazima ubadilishe postage, kwani sellers huweka free postage around Uk tu. International lazima ulipie na hio very cost.
My suggestion tafuta mtu aliopo njee,akusaidie kukunua au address yake ili uweze kupata mzigo au kitu unacho taka.
Mkuu kuna seller wanafanya free shipping kuja hata huku Tanzania nimenunua mzigo mwezi wa tisa kutoka UK umekuja bure mpaka hapa tena ni Kilo karibu 60, awe makini tu katika kuangalia selller anasemaje maana kuna wengine hawaleti huku kabisa