HABAR, Wakuu hiyi kitu inaitwa .cerber3 ransomware, ni kirusi kibaya zaid ya kilichowahi kutokea dunian kwa sasa Kinafanyaje kazi: kinaingia kwa njia za kawaida kama kirus kingine tu, ila hiki ni kwamba kina enrypt mafaili yako yote kwenda .cerber3 enxtension pia kila ndan ya folder...