Msaada aliyetumia unlimited net ya airtel

Msaada aliyetumia unlimited net ya airtel

ulekwe

Senior Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
197
Reaction score
176
Mambo vipi wadau, hivi hii unlimited internet ya airtel ipo vizuri na ni unlimited kweli ama ndio unatumia kwa muda kisha inakua slow kama jamaa wale wengine?
 
Bongo hakuna unlimited ya ukweli matapeli wote tu
 
Ni wale wale tu tena wao wako sharp sana ikifika 600Mb wanakata speed inakuwa slow 15 -28KB/s
 
kutegemea na eneo,mimi nina laini ya tigo mwaka wa nane sasa ila nmeamua kuitupa,speed ni below 2g.hapo naongelea sinza na ubungo
wewe ni case ya eneo haibadilishi maana kuwa kifurushi chao wanabana data.
 
Back
Top Bottom