Habari,mimi
ni kijana wa
kitanzania nimehitimu shahada ya kwanza ya sheria miaka miwili
iliyopita.Nimetafuta sana ajira sijapata naombeni msaada wenu kazi
yeyote ile halali.Niliwahikufundisha sekondari.Mimi nipo dar.
Vyuoni tunaosoma Education tunadharaulika sana tunaonekana kama
washamba, watoto wa wakulima na hatuna akili.
Wale wenzetu wa kozi zingine wanaonekana superior than us lakini after
the graduation we walimu akhaaa haooo tunaanza kula mishahara wenzetu
sasa mnasota mitaani na kuingilia kazi yetu ya ualimu.
Mtu unasoma LL.B huna hata ndugu au jamaa alieko field hiyo Tanzania
yenyewe ndo hii full nepotism unategemea nini?!
My take: Be smart when selecting a university course especiially if you
are from a poor family or else you will waste your parents' money due to
tution fees at the end you end up jobless!

Usitudanganye,hakuna anayependa kuchagua coz ya ualimu kama amefaulu vizuri.Najua wewe ulifelifeli (Ulipata III ya 16) ndo ukaona no way out zaid ya kukimbilia ualim

unajua maana ya kufeli
bado mtadharauliwa hadi huko makazini tena sana tuu! hamna hata anayesikiliza madai yenu. watafute wa koz nyingine waliomaliza na weweVyuoni tunaosoma Education tunadharaulika sana tunaonekana kama
washamba, watoto wa wakulima na hatuna akili.
Wale wenzetu wa kozi zingine wanaonekana superior than us lakini after
the graduation we walimu akhaaa haooo tunaanza kula mishahara wenzetu
sasa mnasota mitaani na kuingilia kazi yetu ya ualimu.
Mtu unasoma LL.B huna hata ndugu au jamaa alieko field hiyo Tanzania
yenyewe ndo hii full nepotism unategemea nini?!
Usitudanganye,hakuna anayependa kuchagua coz ya ualimu kama amefaulu vizuri.Najua wewe ulifelifeli (Ulipata III ya 16) ndo ukaona no way out zaid ya kukimbilia ualim
Tuanzishe uzi walimu vs kozi nyingine tubishane kwa hoja hapa jf. maana walimu wameanza mashauzi sasa
unajua maana ya kufeli
don't give up bro, trust God one day he'll show the way to ur prosperity.
Usitudanganye,hakuna
anayependa kuchagua coz ya ualimu kama amefaulu vizuri.Najua wewe
ulifelifeli (Ulipata III ya 16) ndo ukaona no way out zaid ya kukimbilia
ualim
Yap najua,ukipata III za mwishomwisho za kuelekea IV ndo naita 'kufelifeli',yaan alikuwa anaelekea huko ingawa hajafeli.Kiukweli kabisa mi katika experience yangu ya maisha ya chuo sikuwahi kusikia mtu mwenye Division I or II nzuri ameopt kusoma Education,ila nimeshuhudia watu wengi wenye Div III mbovu au wenye II ambao wanahofia kukosa mkopo ndo wanalazimika kukimbilia huko.Wanakuwa hawajapenda but ufaulu wa mtu / hali ya kiuchumi inamlazimu mtu kukimbilia huko
Vyuoni tunaosoma Education tunadharaulika sana tunaonekana kama
washamba, watoto wa wakulima na hatuna akili.
Wale wenzetu wa kozi zingine wanaonekana superior than us lakini after
the graduation we walimu akhaaa haooo tunaanza kula mishahara wenzetu
sasa mnasota mitaani na kuingilia kazi yetu ya ualimu.
Mtu unasoma LL.B huna hata ndugu au jamaa alieko field hiyo Tanzania
yenyewe ndo hii full nepotism unategemea nini?!
My take: Be smart when selecting a university course especiially if you
are from a poor family or else you will waste your parents' money due to
tution fees at the end you end up jobless!
nina uhakika take home yako haifiki hata laki sita ambayo me naipata kwa kupiga magumashi town na ajira sina. Huna lolote wewe kufeli tu ndio kumesababisha usome hiyo kozi wala usijishaue hapa. Ushauri wangu tusichague kazi mishe yoyote inayokuja mbele yako we piga siku ya Mungu itafika na utatoka tuuu.
Vyuoni tunaosoma Education tunadharaulika sana tunaonekana kama
washamba, watoto wa wakulima na hatuna akili.
Wale wenzetu wa kozi zingine wanaonekana superior than us lakini after
the graduation we walimu akhaaa haooo tunaanza kula mishahara wenzetu
sasa mnasota mitaani na kuingilia kazi yetu ya ualimu.
Mtu unasoma LL.B huna hata ndugu au jamaa alieko field hiyo Tanzania
yenyewe ndo hii full nepotism unategemea nini?!
My take: Be smart when selecting a university course especiially if you
are from a poor family or else you will waste your parents' money due to
tution fees at the end you end up jobless!
Nakushauri,nenda kasome Post Graduate Diploma ya sheria pale shule ya sheria (Law School Of Tanzani-LST),ufaulu na baadaye upate kuwa enrolled kama wakili msomi wa mahakama kuu na mahakama za chini.
Hiyo ni njia pekee ya kufanya kazi kupitia elimu yako ya sheria,kwani kazi zote hutangazwa zikihitaji kigezo hicho.
Ni muhimu kwa wote msomao sheria na wasio na wakuwaunganishia kupata kazi, isipokuwa kwa wale wenye ndugu wasio na roho mbaya za kuweza kuwaunganishia kupata kazi bila kinyingo.