Wakuu mm ndio kwanza naanza kujiunga kwenye hiyo ajira portal. Nimeweka email pale na pasword nikabonyeza 'register' naambiwa ntatumiwa email ila tatizo sasa mpk ss email siioni, kifupi haijatumwa asa sijui tatizo ni nini. Kuna ambaye amewahi kuexperience tatizo kama hili