Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,103
- 10,468
Wakuu,nimejiunga na Ajira Portal hivi karibuni.
Nimejaza taarifa zangu zote,lakini nikiangalia kwenye dashboard inaonesha profile yangu imekamilika kwa asilimia 54 tu.
Nashindwa kuomba kazi kwasababu system inaruhusu kuomba kazi kama profile yako imefikia angalau asilimia 70.
Kwa wazoefu wa huu mfumo wa uombaji ajira,wapi nakosea?