Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,388
- 8,584
Habari wakuu
Mimi ni kijana na mmoja wa wahanga wa kusimamishwa kwa ajira tukiwa tumeanza kazi. Nina Diploma ya community Development, na nilipata kazi manispaa moja hivi sasa baada ya kusitishwa kwa ajira zetu mimi niliomba kuendelea kufanya kazi lakini kwa kujitolea. Na afisa utumishi akanielewa vizuri tu nikaendelea kufanya kazi. Sasa bahati mbaya huyu afisa akahamishwa akaja mwingine ambae kwa sababu zisizoeleweka akaniambia nisimame mpaka hapo mkuu atakapoachia ajira tena.
Sasa nimekaa nyumbani mwezi sasa naona nashidwa sababu sijazoea kukaa bila kazi.
So kama kuna mtu anaweza kunisaidia nafasi ya kazi au hata kujitolea tu sehemu ili nifanye na kuepuka kukaa idle, anaweza kunisaidia katika hilo.
Asante