msaada aina za motherboard

emma115

Senior Member
Apr 28, 2012
135
167
MOTHER BOARDMatatizo mengi yanayowapata watumiaji wa computer ni kutokujua ni aina gani ya motherboard anayotumia kwa ikifa hii ktu basiiiiiiiiiiiiiiiiiii huna ujanja...msaada aina za motherboard
 
aina za motherboard ni nyingi mno as kila processor iliyopo duniani ina motherboard inayofaa pale (zinaitwa sockets). ukihesabu kuna aina ngapi za processors.. intel and amd, itakuwa story refu kueleza. na kingine ni kuwa, hazijatengenezwa kuharibika kilaini au kurekebishwa ni watu wa kawaida. kama mobo yako inasumbua tafuta a qualified technician
 
Back
Top Bottom