Msaada: after surgery complication

hugo jr

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
378
1,151
Nilifanyiwa surgery ya tumbo, (pancreatic pseudocyst) tangu mwezi march 2018 na nikapona vizuri lakini after few month napata maumivu makali sana kwenye kitovu na maeneo jirani na hapo nimeenda hospitali ugonjwa hauonekani maana nimefanya ultra sound, x-ray, H pyroli, choo kubwa, typhoid na Hb level kote nimeambiwa niko normal maumivu ni makali sana maana hata nikitumia pain killer sisikii msaada na hospitali wamenipa dawa inaitwa muscle plus lakini wapi naambiwa na dokta hiyo itakua ni after surgery complications nitulie tu, wakuu mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada niweze kuludi normal
 
Pole..Ngoja wataalam waje kwa msaada zaidi..lakini waweza kwenda Hospital kubwa kwa msaada zaidi..
 
hali kama hiyo **** wakati ni kawaida kutokea, mtu anaweza kaa hata mwaka bila maumivu halafu akaanza kuyasikia baada ya huo muda,Na hakuna namna ya kuyazuia zaidi ya kutumia dawa za kulainisha misuli, kuzuia kovu lisipigwe na baridi(unalipaka mafuta ikiwezekana) nk.

Lakini si mara zote ni kawaida, pia inawza kuwa ni dalili mbaya, ila kama umepima vipimo vyote hivyo na Daktari amekuambia hakuna tatizo, sina shaka sana na jibu lake.
Ila pale unapoona hali ni mbaya usiache kuonana na madaktari tofauti.
Na pia bado inawezekana hayo maumivu hayana uhusiano kabisa na hiyo operation uliyofanyiwa, yakawa na sababu nyingine ambazo ninaimani katika kuonana na madaktari tofauti pale wanapokuhoji watakuwa wameishafikiri hilo
 
pole mkuu mm mwenyewe nilikua na tatizo kama lakwako nilifanyiwa surgery mwez May nkapona kbsa ila ss nimeanzwa na tatizo la tumbo kama lako nimefanya vipimo vyote kama ulivyofanyiwa wiki ilopita pale kcmc moshi ila wakasema vipimo havijaonyesha tatizo yaan npo normal wakanipa tu dawa za maumivu (tramadol mg 500) ila kiukwel naumwa sana tumbo
 
Pole sana ndugu.
 
Mtu wangu wa karibu alifanyiwa operation ya tumbo mwaka juzi,mwaka huu alipata maumivu makali sana hayasikii dawa,alikutwa na isue wanaita wenyewe adhesion ,ikabidi afanyiwe tena operation ya emergency kurekebisha as walisema inamuweka kwenye risk ya kupata more complications like utumbo kujifunga etc,pole mkuu cheki na daktari tofauti uone anakupa option gani
 
sawa mkuu shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom