Sasa kwann hatak wakat kachagua mwenyewJamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani
P-C
C-B
B-C
Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.
Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?
Kwani mkuu, huko SUA amechaguliwa round ya ngapi?Jamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani
P-C
C-B
B-C
Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.
Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?
Aombe third roundJamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani
P-C
C-B
B-C
Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.
Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?
Aombe third round
Hizo courses anazozitaka zitakuwa zipo available hiyo round ya 3??
Kwani mkuu, huko SUA amechaguliwa round ya ngapi?
Hata mimi nataka asome Medicine ama Pharmacy ama Nursing ama Medical laboratory.
Round ya Tatu ipo, aombe round ya Tatu.
Hapo hamna namna tena amor.... Achague kwenda kusoma hiyo BVM ama atulie aje aapply tena mwakani ama aende diploma ya medicine.
Hapa kuna utata mkubwa-vijana wanaomba moja kwa moja vyuoni. Hivyo huyo alijaza SUA on line application. Hizo koozi zote za afya unazotaja haziko SUA maana yake huko kwenye vyuo vingine alivyo omba amekosa lakini BVM ya SUA amechaguliwa.Jamani watoto wa siku hizi Kwa kuchukulia mambo easy, amesoma PCB akafaulu 1.8 Yani
P-C
C-B
B-C
Alitaka soma medicine, pharmacy au nursing.Sasa alijaza kozi hizo akachanganya na zingine zisizoeleweka.Bahati mbaya akachaguliwa veterinary SUA.
Sasa haitaki hiyo,msaada afanyeje pengine ili asome hizo kozi azitakazo?Au ndo basi tena asubiri mwakani?
Sasa tujiulize kwa nini yeye hakupata multiple selections na ufaulu huo huo. Kuna kitu sikielewi hapa.Aombe 3rd round asikate tamaa mimi mwenyewe nilikua na matokeo hayo hayo na nimepata multiple selections
Bugando MD
Kcmc
Udsm
Na Udom
NB:usikate tamaa
Kama nafasi zitakuwepo anaweza akaomba third roundHapa kuna utata mkubwa-vijana wanaomba moja kwa moja vyuoni. Hivyo huyo alijaza SUA on line application. Hizo koozi zote za afya unazotaja haziko SUA maana yake huko kwenye vyuo vingine alivyo omba amekosa lakini BVM ya SUA amechaguliwa.
Sasa kama hakuwa na multiple selections ina maana TCU wamesha mrekodi kuwa anakwenda SUA. Hata akiomba tena wakati wa kuverify mfumo itaonyesha huyo tayari ni wa SUA na sidhani kama atabadilishiwa. Round ya tatu ni round tata hata hivyo vyuo vingi vya afya vitakuwa vimejaa au karibu ya kujaa. Kama hataki BVM basi asiende na awasiliane na TCU wamtoe kwenye records zao ili mwakani aanze upya.
Lakini pia ajiulize je udakitari wa wanyama ni mbaya kiasi hicho kwamba hataki kwenda? BVM mkuu ni program inayo eleweka na ina heshima zake. Kwa upande wa masomo hayapitani sana na yale ya bina damu, ingawa inakuwa more challenging kwa kuwa una cover species nyingi zaidi. Course ni miaka ile ile mitano. Ajira hazijawa issue kubwa upande huo na hata akitaka kuji ajiri hili linawezekana. Ukiwa makini mpunga wako unaweza kuwa mrefu tu. Hivyo atafakari kwa undani. Kusubiri mwakani nayo ni aina ya kamari. ANYWAY HUU NI USHAURI TU.
Sasa tujiulize kwa nini yeye hakupata multiple selections na ufaulu huo huo. Kuna kitu sikielewi hapa.