mwanya2 Member Joined Jul 21, 2015 Posts 94 Reaction score 49 Nov 7, 2015 #1 simu yangu nitecno m5. tatizo linalosumbua ni hizi google adds. yani nikiweka data on zinafutana hizo adds mfurulizo hadi nashindwa kufanya chochote. naombeni kwa anaefahamu anisaidie jinsi ya kuweza kuziondoa yani had hii simu nimeichukia.
simu yangu nitecno m5. tatizo linalosumbua ni hizi google adds. yani nikiweka data on zinafutana hizo adds mfurulizo hadi nashindwa kufanya chochote. naombeni kwa anaefahamu anisaidie jinsi ya kuweza kuziondoa yani had hii simu nimeichukia.
Wizzy the Principle Member Joined Jan 11, 2014 Posts 63 Reaction score 3 Nov 7, 2015 #2 -Clear cache zake then fungua kama itakuja kama mwanzo -Kama ngumu kuondoka pakua app iliyokuwa kama hiyo **APTOIDE**
-Clear cache zake then fungua kama itakuja kama mwanzo -Kama ngumu kuondoka pakua app iliyokuwa kama hiyo **APTOIDE**