Mkuu kama ni hivyo,utakesha. Kuattach file la ukubwa wake humu mara nyingi inasumbua. Usingekuwa mvivu kutafuta ungeishaipata tayari. Kwanza kuna link imewekwa humu kama siku tatu zilizopita,unadownload kirahisi kabisa na inafanya kazi vizuri sana.
Jitahidi usiwe mvivu ndugu yangu,sababu uliyoitoa hakuna mtu atakubaliana nayo kiukweli.