ukisoma jinsi livyo tengenezwa 90% ya yaliyomo ni real 10% ndiyo CGI tena imetumika kufuta nyaya, kuficha camera. pale wakati wanaenda muokoa yule demu kwenye basi wameharibu more than 40 cars.
kuna ile wanaruka na magari toka kwenye ndege ni kweli yalirushwa bila watu mawili mawili kutoka kwenye ndege tatu tofauti.
Skin trade, absolution, exodus; gods and kings, fury, November man, prince, equalizer, john wick, kill me three times, teken 3,run all night...anza na hizo mkuu weekend itakua murua ..
sci-fi ni movies za teknolojia. unaweza ukaona mabunduki ya ajabu humo ambayo kiuhalisia hayapo. magari ya high technology au maroboti.
horror movies hizi ni za kutisha tisha mfano movies za mazombi.
drama hizi kwa kawaida huwa zinahusu maisha ya kawaida, lifestyle ya mtu au watu. Drama za hollywood kama hujui kiingereza unaweza ukasinzia,, ni sawa na mzungu kuangalia bongo movies za kina Ray au JB.. zinahitaji uelewa wa kinachozungumzwa na sio action.