Msaada: Account yangu ya Facebook imechezewa

halimbaya

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
63
Reaction score
15
Habari wakuu,
Nimepata tatizo moja kwenye Account yangu ya Facebook inashare video chafu na kutag marafiki zangu,inakuja kuappear kwenye timeline yangu.Watu wanakuja kunilalamikia.Naomba msaada wa kufix hili tatizo kwa maana nareport ila bado hakuna lolote lililofanyika.
Naomba msaada kwa hili wakuu linaharibu reputation yangu.
Asante
 
Mkuu ni kosa lako mwenyewe kuwa na facebook account.

btw
hilo tatizo linatokana application inayojiauthorize kupost videos au picha kila baada ya dk flani.

Wengi ambao hukumbana na tatizo hili ni wale wanaotafuta ku increase number of likers ktk website ambazo baadae zinaweka apps kwenye account zao then mara ya kwanza zinapost ktk kila wall ya friend wako, nakuonekana kama ni ww uliyepost.

Sasa fanya hivi.
Nenda kwenye SETTINGS ingia walipoandika APPS, alafu ingia walipoandika LOGGED IN WITH FACEBOOK, hapo utaona application zote zinazo access account yako.
Chagua ambayo unaona inapost upuuzi then REMOVE.

Regards: Cysthe
 
Last edited by a moderator:
Ni account yako inapost au mtu anapost kwenye timeline/wall yako?
Ingia FB nenda
https://www.facebook.com/settings?tab=timeline kuna option ya Who can post things to my timeline? Click Edit. Chagua Only Me.

Nenda
https://www.facebook.com/settings?tab=account
Change Password.

Nenda
https://www.facebook.com/settings?tab=security

Kwenye Login Allerts weka ON notifications, hii itakupa ujumbe kila mtu akiingia account yako ya FB, so utaweza kujua kama kuna mtu ana access. Unaweza kuchagua Notification utazipata wapi.

Nenda
https://www.facebook.com/settings?tab=applications

Delete Application zote zenye access ya FB yako, hii ina maana kuwa kama unatumia FB App ya simu itabidi ulogin upya.

Hakikisha una antivirus kwenye PC yako, Microsoft Security Essentials ni nzuri na bure. Microsoft Security Essentials - Microsoft Windows
 
Duh kweli halimbaya ila ushauri tu pia usifungue website za porn uku umelog in facebook kwenye tab nyingine.
 
Usifanye ngono huku PC yako iko on hasa page ya Facebook ikiwa haiko closed inafyonza yote unayoyafanya na kuanza kuyapost Kwenye timeline yako. Huu ni ushauri kutoka kwa my Monk Facebook Guru
 
Mnapewa link then mnazama mkifika mna allow hizo app mkizani mnazams deep zaidi kumbe umekaribisha develepor ambao wameset uki allow app yao zitatokea matangazo au data zao kwa wall yako mara nyingi mnavutwa kupitia picha chafu hivo pole mana source ni ww cha kwanza feel safe hakuna ali access akaunti yako

Namna ya kutatua tatizo ingia setting then General nenda apps then remove izo apps ulizo access
 
Mkuu ni kosa lako mwenyewe kuwa na facebook account.

btw
hilo tatizo linatokana application inayojiauthorize kupost videos au picha kila baada ya dk flani.

Wengi ambao hukumbana na tatizo hili ni wale wanaotafuta ku increase number of likers ktk website ambazo baadae zinaweka apps kwenye account zao then mara ya kwanza zinapost ktk kila wall ya friend wako, nakuonekana kama ni ww uliyepost.

Sasa fanya hivi.
Nenda kwenye SETTINGS ingia walipoandika APPS, alafu ingia walipoandika LOGGED IN WITH FACEBOOK, hapo utaona application zote zinazo access account yako.
Chagua ambayo unaona inapost upuuzi then REMOVE.

Regards: Cysthe

Asante sana mkuu...nimefanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Mnapewa link then mnazama mkifika mna allow hizo app mkizani mnazams deep zaidi kumbe umekaribisha develepor ambao wameset uki allow app yao zitatokea matangazo au data zao kwa wall yako mara nyingi mnavutwa kupitia picha chafu hivo pole mana source ni ww cha kwanza feel safe hakuna ali access akaunti yako

Namna ya kutatua tatizo ingia setting then General nenda apps then remove izo apps ulizo access

Mkuu me mwenyewe nilitaggiwa ile link hivyo nikakosea kufungua ndio hapo tatizo lilipoanza...ila nashukuru tayari nimesolve
 
Usifanye ngono huku PC yako iko on hasa page ya Facebook ikiwa haiko closed inafyonza yote unayoyafanya na kuanza kuyapost Kwenye timeline yako. Huu ni ushauri kutoka kwa my Monk Facebook Guru

Hahahaha...sawa mkuu
 
Duh kweli halimbaya ila ushauri tu pia usifungue website za porn uku umelog in facebook kwenye tab nyingine.

Mkuu sio kwamba huwa nafungua site za porn ila nilitaggiwa pia hiyo link so baada ya kuclick tu tatizo likahamia kwangu
 
habar wadau vp kama unataka kuingia akaunt ya facebook ya mtu mwingine unafanyaje namba yake ukiwa nayo msaada kwa anaejua
 
Namba haitoishi inabidi uwe na password pia.

Ahsante

NB:
Acha udakuzi. Fungua yakoo
 
Back
Top Bottom