Hapana boss. Coolant ipo poa. Ata Gauge ya Temp ipo vizuri tu.
Mkuu feni zinazunguka sawa sawa? Mm yangu ilipata shida ya fan mortal iliungua gari ikawa inachemka Kwahiyo automatically ac ikawa inaingiza joto hatari niliponnua fan ac ikapiga mzigo burudani.Hapana boss. Coolant ipo poa. Ata Gauge ya Temp ipo vizuri tu.
Tatizo ni joto tu la ndani. Yaani joto ova umejifungia kwenye hotpot. Ukifungua madirisha hadi chini ndio kuna unafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kushauri hivi, ile pipe inayoingiza gas kwenye evaporator, Ile connector inaweza kuvujisha gas na kama fundi ana haraka anaweza asijue, inahitaji utulivu kidogo...Nimeshapata tatizo kama hilo....hapo ishu ni leakage....fundi anayesema hakuna leakage huyo hajui kazi yake....hususani ukute gesi inavuja ndani kwenye evaporator...ni ngumu kwa fundi wa kawaida ambaye yupo after money kugundua hili...
Bahati yako mbaya upo mbali...ungekwa Arusha kuna jamaa yupo vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nipo AR na ninashida kama ya jamaa hapo juu (NB: Gari yangu ni RV4),. Nisaidie mkuu wangu.Nimeshapata tatizo kama hilo....hapo ishu ni leakage....fundi anayesema hakuna leakage huyo hajui kazi yake....hususani ukute gesi inavuja ndani kwenye evaporator...ni ngumu kwa fundi wa kawaida ambaye yupo after money kugundua hili...
Bahati yako mbaya upo mbali...ungekwa Arusha kuna jamaa yupo vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana boss...kuna jamaa alinisaidia hiyo shida ..yupo Metropolitan jirani na gorofa la manjis anaitwa Ally mcheki kwa 0757 476 957Mkuu mimi nipo AR na ninashida kama ya jamaa hapo juu (NB: Gari yangu ni RV4),. Nisaidie mkuu wangu.
Kwa wapi mkuu? Au ni fundi wa hapo ndani gereji ni kwa pale nyuma wanapouza madafu?Pole sana boss...kuna jamaa alinisaidia hiyo shida ..yupo Metropolitan jirani na gorofa la manjis anaitwa Ally
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo... opposite na gorofa la Manjis.Kwa wapi mkuu? Au ni fundi wa hapo ndani gereji ni kwa pale nyuma wanapouza madafu?
Mkuu kuna kile kitufe kimeandikwa AC....kwenye picha sijakiona...hivi huwa unakiwasha kweli??...isijekuta unawasha feni tupuYaani hapo nasweat jasho hatari hakuna ata punje ya ubaridiView attachment 1030185
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho Jombaa. Ulienda kwa fundi gani, wapi... Ulisema tatizo nini.Yaani hapo nasweat jasho hatari hakuna ata punje ya ubaridiView attachment 1030185
Sent using Jamii Forums mobile app