TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
yaani usiombe mkuu, nili-appeal na ku-appeal lakini wapi! Inawezekana hii formula kuna iliyowasaidia, ila mie kwangu yalikuwa matanga.....
hata mimi nishawahi kuumizwa hapo tra....ila nimejifunza jinsi ya kupambana nao.