Msaada, Skeletoni Masozi inasababishwa na nini? Tiba yake ni nini?

Jan 4, 2019
34
38
Habari za muda huu, naomba mnisaidie japo ushauri tu.

Ndugu yangu alikuwa anasumbuliwa na kifua hapo awali na tulipoenda hospitali unaonekana ni nimonia homa ya mapafu. Tukapewa dawa akatumia lakini hali ikawa bado, tukarudi tena hospitali kwa mara nyingine hii akafanyiwa culture na ikaonekana pia ile homa ya mapafu bado haijaisha hivyo akapewa tena dawa ambazo zitakazo msaidia na alipo tumia ile hali ikawa imepotea yaani amepona.

Sasa shida moja ni kwamba anasema mifupa ya kifua inamuuma akijinyoosha inakuwa inashtuka tukarudi tena hospital tukaambiwa kuwa mapafu hayana shida ila ni sekritoni masozi akapewa tena dawa atumie lakini bado anapata maumivu kwenye mifupa ya kifua sasa hebu nisaidieni hii SEKRITONI MASOZI inasababishwa na nini na ni dawa gani tena ambayo anaweza akatumia na kupona kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom