Raphael9 Senior Member Joined Apr 24, 2012 Posts 145 Reaction score 45 Dec 21, 2012 #1 Msaada wa jinsi ya kutumia simu kama mordem katika laptop...... Natumia nokia Asha 200
HT JF-Expert Member Joined Jul 29, 2011 Posts 1,897 Reaction score 414 Dec 21, 2012 #2 stupid heading. sorry if I sound harsh. your heading should reflect or summarize contents
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Dec 21, 2012 #3 Raphael9 said: Msaada wa jinsi ya kutumia simu kama mordem katika laptop...... Natumia nokia Asha 200 Click to expand... laptop yako ina bluetooth??
Raphael9 said: Msaada wa jinsi ya kutumia simu kama mordem katika laptop...... Natumia nokia Asha 200 Click to expand... laptop yako ina bluetooth??
Prisoner 46664 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 1,948 Reaction score 1,238 Dec 21, 2012 #4 Raphael9 install nokia pc software (Nokia PC suite) kwenye laptop yako...halafu utaona icon ya kubonyeza kuunganisha internet ya kwenye simu kwenye computer,... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Raphael9 install nokia pc software (Nokia PC suite) kwenye laptop yako...halafu utaona icon ya kubonyeza kuunganisha internet ya kwenye simu kwenye computer,...