wasumu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 2,452 Reaction score 2,262 Nov 19, 2016 #1 msaaada computer yangu imekufa kiooo display aina ni ...hp elite book ...
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Nov 19, 2016 #2 Hivi hii inahitaji msaada au ni kwenda dukani na kununua hicho kioo!!?
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,214 Nov 19, 2016 #3 WAHEED SUDAY said: Hivi hii inahitaji msaada au ni kwenda dukani na kununua hicho kioo!!? Click to expand... Sio kwenda Dukani na kununua kioo,bali apeleke kwa mafundi computer wao ndo watajua kioo gani kinafaa,kuna vioo vingine akifunga tu vina lipuka,anaweza akatumia ghalama kubwa Kama hana ujuzi wa hivyo vitu
WAHEED SUDAY said: Hivi hii inahitaji msaada au ni kwenda dukani na kununua hicho kioo!!? Click to expand... Sio kwenda Dukani na kununua kioo,bali apeleke kwa mafundi computer wao ndo watajua kioo gani kinafaa,kuna vioo vingine akifunga tu vina lipuka,anaweza akatumia ghalama kubwa Kama hana ujuzi wa hivyo vitu
jT0078 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 421 Reaction score 331 Nov 19, 2016 #4 Nauza na kufunga screen za laptop aina zote nichek kama upo Dsm 0718 290779