Msaaada! Ufanunuzi wa Viapo wa Makatibu na Manaibu Katibu wakuu wa Wizara

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,729
3,152
NAtumai mu wazima na Mungu amewabiriki afya na amani katika mwaka 2016!

Leo tarehe 1/1/2016 Makatibu wakuu wameapa viapo vya utendaji kazi wao, ila nikisikiliza viapo vyao sehemu ya tatu ambayo wanatakiwa kutunza siri za serikali na baraza la maraisi nimeona wakisema wanaweza kutoa siri hizo ikiwapo raisi amewaambia hivo!

Hivi, inawezekana raisi akawaambia makatibu wakuu watoe siri ya baraza la mawaziri, if yes ni aina gan za siri zinazozungumziwa na kiapo hicho! Wenye uelewa zaidi nidadavulien hapo
 
Back
Top Bottom