commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,622
- 872
WAKUU HABARI ZAJIONI,
NAOMBA MSAADA WENU LEO JIONI NIMENUNUA KA TABLET KANAITWA SEL tab kanauzwa na kampuni ya ktz inaitwa SAPANA ELECTRONIC LTD. Naona wanamatawi, moshi, dar, mbeya, zanzibar, morogoro na dodoma, sasa niko nayo nyumbani hapa nimejaribu kuweka modem yangu ya voda yenye line ya voda kupitia USB wire,lengo langu niistal hiyo modem ili nikonect network nipate kutest speed nakadhalika, sasa baada ya kuiweka sioni option yoyote ya kuwa detected kwa modem wala hakuna kinachotokea, taa ya modem inawaka kama kawaida but sioni option yoyote ya kuniambia nicconect, tafadhali kwa mtumiaji wa hii SEL tab nisaidieni wadau jinsi ya kucconect ili nipate internet ya modem yangu .. pamoja sana