Ronzobe B29 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 242 Reaction score 90 Dec 16, 2017 #1 Natumain mu wazima wa afya kuna mtu nilikua nimemuachia laptop yangu kumbe hajui kuizima na wakati nilipoenda kuichukua nimekutana na tatizo hili BLUE SCREEN Kwa anayejua naomba msaada tafadhali Natumia windows 8
Natumain mu wazima wa afya kuna mtu nilikua nimemuachia laptop yangu kumbe hajui kuizima na wakati nilipoenda kuichukua nimekutana na tatizo hili BLUE SCREEN Kwa anayejua naomba msaada tafadhali Natumia windows 8
Ronzobe B29 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 242 Reaction score 90 Dec 16, 2017 Thread starter #2 Imezuia nisifanye chochote