ezless Member Joined Dec 23, 2012 Posts 45 Reaction score 8 Sep 25, 2014 #1 Natumia pc HP pavilion dm3 ina hdd 320 na ram 4gb AMD Athlon Neo X2 dual core Processor L335 1.60GHZ Tatzo lake inakuwa Too Hot kweny upande wa HDD Msaada wenu kwa kijana wenu hapa
Natumia pc HP pavilion dm3 ina hdd 320 na ram 4gb AMD Athlon Neo X2 dual core Processor L335 1.60GHZ Tatzo lake inakuwa Too Hot kweny upande wa HDD Msaada wenu kwa kijana wenu hapa
sandman Senior Member Joined Jun 19, 2014 Posts 197 Reaction score 27 Sep 25, 2014 #2 Sidhani kama HDD Inaweza ikawa heated up kwa kufanya kazi. Hiyo itakuwa ni processor na cooling fan yake. Tatizo linatokea vumbi ikiziba vents za hewa. Ifungue au peleka kwa experts apunguze vumbi kwa blower na kuclear up hizo vents.
Sidhani kama HDD Inaweza ikawa heated up kwa kufanya kazi. Hiyo itakuwa ni processor na cooling fan yake. Tatizo linatokea vumbi ikiziba vents za hewa. Ifungue au peleka kwa experts apunguze vumbi kwa blower na kuclear up hizo vents.
ezless Member Joined Dec 23, 2012 Posts 45 Reaction score 8 Sep 25, 2014 Thread starter #3 sandman sasa mbna sehm ya HDD ndo inakuwa hot tofaut na sehm nyngne Last edited by a moderator: Jan 4, 2016